RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imelazimika kupunguza baadhi ya shamra shamra za maadhimisho ya kusherehekea miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ili kuokoa fedha na kuzielekeza katika matumizi mengine ya serikali,ikiwemo huduma za kijamii. Dk. Mwinyi amesema hayo katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed